Kifo Cha Mwigizaji Kanumba Kilivyozima Nyota ya Ray Katika Uigizaji Filamu - EDUSPORTSTZ

Latest

Kifo Cha Mwigizaji Kanumba Kilivyozima Nyota ya Ray Katika Uigizaji Filamu

 

Ray alikuwa anajiona kama ni size moja na kanumba wakati ukweli sio hivo, kanumba alikuwa amempiga Bao tano Bila.

Ray Alipoanza kupata mashabiki  basi akajikuta ni zaidi ya kanumba, wakati kucheza kwake filamu na kanumba ndio kulimpa platform ya kuonekana mbele ya watu wengi zaidi.

Kifo cha kanumba ni pigo kali sana kwa Ray na Waigizaji wengine waliokuwa wanategemea jina lake kama Ray, Aunt Ezekiel, Patrick , Jennifer, yule jamaa Alikuwa anapenda sana Kuigiza kama mchungaji, Pacho Mwamba, Yule jamaa kwenye Uncle JJ ni Mlinzi wa Nyumba. Ukiangalia wote hawa kwasasa wamepotea kwenye game, ingawa Patrick na Jennifer wanafurukuta lakini wapi.

Kanumba alibeba nyota ya Ray KAMA VILE AMBAYO DIAMOND PLATNUMZ AMEBEBA NYOTA YA HARMONIZE NA ALIKIBA

Kiba na Harmo wamuombee sana Mondi awe na maisha marefu zaidi kwenye muziki, maana ndio kabeba umaarufu wao. Siku Mond akiisha tu, basi kiba na Harmo watapotea pia.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz