Fahyma wa Rayvanny "Mwaka Huu Hauishi Lazima Niolewe" - EDUSPORTSTZ

Latest

Fahyma wa Rayvanny "Mwaka Huu Hauishi Lazima Niolewe"
Mwanadada fahyvanny Juzi kwenye kipindi cha LaviDavi kinachoruka hewani kupitia wasafifm. Fahyvanny aliulizwa na kujibu maswali mengi yakiwemo ya kuhusu mahusiano yake na na msanii mashuhuli hapa nchini rayvanny

Moja kati ya swali alilojibu fahyvanny nikuhusi kuolewa, fahyvanny alifunguka yafuatayo "Yes kuolewa nitaolewa na mwaka hauishi nitakuwa tayari nimeshaolewa" ... Ni jibu alilojibu fahyvanny baada yakuulizwa kwenye kipindi cha Lavidavi ya wasafifm usiku wa kuamkia leo.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz