- EDUSPORTSTZ

Latest
Aisee nilikuwa nabishana sana na watu wanaosema kwamba shape ya @mobettohtothetop ni ya kutengeneza, aisee kuanzia leo nimeamua kukubaliana nao tu, Sio kwa shape hili aisee, mobetto utatuua.
Itoshe kusema kwamba kwasasa mobetto ndio star wa kike mwenye mvuto Tanzania nzima.

Wanaume ambao wamewahi kudate na mobetto wajengewe sanamu kabisa, joto linaweza likapungua.

Kama kweli Rick Ross anamuoa mobetto ahakikishe anafuga Mbwa wengi maana sio poa mtoto anavutia.

MDAU UNALIONAJE HILI SHAPE NI NATURAL KWELI?

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz