Banki Yakosea na Kuwaingizia Wateja Mamilioni ya Fedha Kwenye Account zao Siku ya X Mass - EDUSPORTSTZ

Latest

Banki Yakosea na Kuwaingizia Wateja Mamilioni ya Fedha Kwenye Account zao Siku ya X Mass


Benki ya Santander Uingereza imejikuta mdomo wazi baada ya kugundua kwamba iliweka kimakosa pesa zinazofikia $ milioni 175 (Tsh. bilioni 400+) kwenye account za Wateja wake wanaokaribia elfu mbili siku ya Christmas December 25 2021.

Taarifa ya Benki hiyo imesema ———> "Tunasikitika kwamba kutokana na suala la kiufundi baadhi ya malipo kutoka kwa Wateja wetu wa kampuni yalinakiliwa kimakosa kwenye akaunti za wapokeaji, tutafanya kazi kwa bidii na benki nyingine kote Uingereza kurejesha miamala hiyo”

Mara paap Benki imekosea muamala na kukuwekea mamilioni, vitu gani vitatu utafanya bila kupoteza muda ? 🤔
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz