Askofu Gwajima Afunga Masaa 72 Kumng'oa Amaleki Katika Nchi - EDUSPORTSTZ

Latest

Askofu Gwajima Afunga Masaa 72 Kumng'oa Amaleki Katika Nchi


HABARI:Baada ya Kamati ya nidhamu ya CCM kutaka kuwahoji Askofu Gwajima, Polepole na Slaa, Askofu Gwajima ametangaza mfungo wa saa 72 kwa ajili ya kumng'oa (Mtawala) Amaleki katika nchi.


Offer ya X Mass Tangaza Biashara yako yoyote Kwenye Blog Hii kwa Sh 10,000 tu

Piga simu 0714604974 kwa Maelezo zaidi

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz