Ali Kiba Kuhusu Kufungua Biashara ya Betting "Siwezi Dini Yangu Hairuhusu Sijajua Diamond Dini yake" - EDUSPORTSTZ

Latest

Ali Kiba Kuhusu Kufungua Biashara ya Betting "Siwezi Dini Yangu Hairuhusu Sijajua Diamond Dini yake"


Majibu ya AliKiba baada ya kuulizwa kama ana mpango wa kuanzisha kampuni ya kubashiri michezo (Betting) kama ambavyo msanii Diamond Platnumz amefanya. AliKiba alisema hawezi kufanya hivyo kwani Dini yake haimruhusu.

"Kwa Bahati mbaya Dini yangu hairuhusu, sasa sijajua Dini ya Diamond." alijibu @officialalikiba mbele ya Waandishi wa habari baada ya kutua nchini Kenya jana usiku.




Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz