Wasanii na Watu Wanao Onesha Vitu vya Thamani Mitandaoni Kuchunguzwa na Mamlaka ya Mapato Kenya


Mamlaka ya mapato nchini Kenya (KRA) imeeleza kuwafuatilia watu wanaochapisha vitu vya anasa kwenye mitandao ya kijamii ,ikiwa ninmpango wa kuwabaini watu wanaokwepa kulipa kodi.

Machapisho yanayo onesha magari ya gharama, majumba ya kifahari, starehe (parties) watafuatiliwa na maafisa wa mapato kuchunguzwa umiliki wao na kama ni walipaji wazuri wa kodi

Aidha mamlaka hiyo imeeleza kuwa yoyote atakae bainikia kukwepa kodi atakua hatarini kuzuiwa kusafiri, fedha & Mali zao kutaifishwa na benki pamoja na kushtakiwa.




0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post