Baba Levo "Fayvanny Apoteza SIFA za Kuwa Mke Bora Kisa Tik Tok" - EDUSPORTSTZ

Latest

Baba Levo "Fayvanny Apoteza SIFA za Kuwa Mke Bora Kisa Tik Tok"


Ni maneno ya msanii baba levo baada ya @fayvany kufungua account tiktok na kushiriki challenge mbali mbali za tiktok zingine zikiwa hazina maadili mazuri kwa jamanii

Ni sio kwa huyo tu wanawake wengi wa mjini wamekua wakifanya wakishiriki challenge mbali mbali zinazoonyesha maumbile yao na kujiona kama maisha wameyapatia sanaa kumbe ni ushamba tu na kupoteza hadhi ya kuwa wife material


HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA UDAKU SPECIAL APP, DOWNLOAD HAPA UWE NAYO KWA SIMU YAKO..USIPITWE 

Hasa kwa mtu maarufu kama @fayvany ambae anatakiwa kua kioo kizuri kwa jamii kwa sababu anafatiliwa na watu wengi mitandaoni lakini inakua tofauti na kupotosha jamii .


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz