Vimondo Vyapatikana Kisarawe, Uchunguzi Kufanyika - EDUSPORTSTZ

Latest

Vimondo Vyapatikana Kisarawe, Uchunguzi Kufanyika

 


Halmashauri ya wilaya ya Kisarawe Mkoani Pwani imetenga fedha kwaajili ya kuwapeleka watafiti wa miamba katika kijiji cha Mfuru kata ya Marumbo wilayani humo, lengo likiwa ni kuchukua sampuli ya mawe makubwa mawili yanayodhaniwa kuwa ni vimondo ili kubaini kama ni vimondo halisi.

Mkurugenzi wa halmashauri hiyo Hanan Bafagih amesema hatua hiyo imekuja kufuatia hoja iliyoibuliwa na madiwani wakiomba kupelekwa wataalam kwaajili ya kupima mawe hayo ambayo huenda yakawa vyanzo vya utalii na hivyo kuongeza mapato kwa halmashauri hiyo. 





Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz