Msanii mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva @rayctanzania ameandika ujumbe kupitia Instastory yake kuwa mwisho wa msuguano kati ya #Diamond na #Harmonize unaweza kuwa mbaya kama mambo yasipotatuliwa mapema
Ray C ameandika kuwa Watanzania hatupaswi kufurahia hili kama kweli tunawapenda wasanii hao. Hii ni vita kubwa sana ya kuharibiana Brand
HABARI KAMA HIZI UNAZIPATA KUTOKA APP YA UDAKU SPECIAL PEKEE DOWNLOAD HAPA UWE NAYO KWENYE SIMU YAKO
Msanii huyo ameendelea kwa kuwaomba viongozi wa serikali waingilie kati na kutatua tofauti ambazo zipo kati ya wawili hao
Post a Comment