Nabii Shillah Afunguka Baada ya Kusema Yesu Alikuwa Tapeli "Watu Wananitengenezea Ubaya Wataumbuka" - EDUSPORTSTZ

Latest

Nabii Shillah Afunguka Baada ya Kusema Yesu Alikuwa Tapeli "Watu Wananitengenezea Ubaya Wataumbuka"
Mtumishi wa Mungu Nabii Shilla billionaire_shillah Ambae Week Hii Amekua Kwenye Trending Ya story Tofauti Tofauti ikiwemo video clip iliyokua ikisambaa kupitia mitandao ya kijamii ikisikika sauti yake na story zikidai alikua akifanya utapeli kwa watu kupitia mwamvuli Wakumtumikia Mungu, Na kudai hata Yesu alikuwa tapeli

Sasa Nabii Shilla Amefunguka kua Yeye Anaamini Mafanikio Na Miujiza Ya Mungu Kwake Ndio Sababu Ya kuonewa Wivu Na Kutengenezewa Ubaya

Nabii shilla aliongeza Kua Hata hizo Sauti zinatengeneza kupitia software maalum za kubadilisha sauti na kuigilizia Sauti Ya mtu flani

billionaire_shillah Anasema Yesu Anampenda Sana Na Hayo Yote Yanayoendelea Hayawezi Kumdhuri Hata kidogo Na Mwisho Wabaya Wake Wataumbuka
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz