Hoteli ya Villa de Coco Yaungua Kwa Moto, Zanzibar - EDUSPORTSTZ

Latest

Hoteli ya Villa de Coco Yaungua Kwa Moto, Zanzibar

Hoteli ya Villa de Coco iliyopo Jambiani, Zanzibar imeungua kwa moto usiku wa kuamkia hii leo Novemba 20, 2021, na taarifa zinaeleza kwamba moto huo umeendelea kuunguza Cobe Hoteli na ukainga Fun Beach na sasa umefika maeneo ya barabarani kwa sababu ya upepo
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz