Harmonize "Unataka Fadhila Wakati Ulizikataa Mwanzo" - EDUSPORTSTZ

Latest

Harmonize "Unataka Fadhila Wakati Ulizikataa Mwanzo"
“Lengo langu ilikuwa ni kutafuta peace, mimi nilikuwa naamini jinsi uwekezaji unavyokuwa mkubwa na mafaniko yatakuwa makubwa, Konde Gang ilikuwa ni ndoto yangu lakini sikutegemea kuifanya hivi karibuni.

“Kulikuwa hakuna jinsi lazima niondoke (WCB), Nilichofanya, ni kujiuliza mtu gani ambaye angeweza kuzungumza na bro, nikaona Boss Joe (Joseph Kusaga), alikuwa mshkaji wake wakati huo wanataka kufungua media.

“Nikamfuata na kumueleza ukweli kuwa kuna hiki na hiki, sikumficha.

“Mi niko straight, ukinichukia sawa, usitake leo nikupe fadhila wakati mwanzo ulikataa fadhila zangu,”

Kauli za Harmonize baada ya kutua Dar es Salaam, leo Alhamisi akitokea Marekani.”

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz