Diamond Platnumz Akamatiki, Wimbo Wake Wafikisha Views Milion 100, Hakuna East Africa - EDUSPORTSTZ

Latest

Diamond Platnumz Akamatiki, Wimbo Wake Wafikisha Views Milion 100, Hakuna East Africa


Taarifa Mpya Ikufikie Kwamba Ngoma Ya Star Wa Muziki Barani Africa @diamondplatnumz 🦁 Ft @fallyipupa01 #Inama Imefanikiwa Kufikisha Views Milioni 100 Youtube.

Huu Ni Muendelezo Wa Maajabu Ambayo Mkali Huyu Anazidi Kutuonesha Kila Kukicha Kwa Kuweka Rekodi Mbalimbali Katika Kazi Zake Za Muziki

Star Huyu Aliachia Ngoma Hii Ambayo Mitaa Ilikuwa Haiwezi Kuacha Kuipiga/ Kuicheza Kila Siku. Iliingia Sokoni Rasmi June 9, 2019 Katika Ukurasa Wake Wa Youtube na Platforms Mbalimbali Za Kusikiliza Muziki

Je, Ni Star Gani Mwingine Unayemfahamu Toka Africa Mashariki Amefikisha Views Milioni 100 Youtube ?

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz