Chanzo cha Best Naso Kuzushiwa Kifo - EDUSPORTSTZ

Latest

Chanzo cha Best Naso Kuzushiwa Kifo

Msanii Best Naso taarifa za kuzushiwa kifo zilisababisha bibi yake kuzimia mara tatu kijijini na kuleta taharuki kwenye familia yake.

Best Naso anasema chanzo cha taarifa hizo za kuzushiwa kifo zilianzia kwenye mtandao mmoja kutoka nchini Kenya ambapo walipost kwamba amejinyonga.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz