Breaking : Wizkid ameshinda Tuzo ya MTV EMA kipengele cha msanii bora wa Africa, Mondi Chali - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Breaking : Wizkid ameshinda Tuzo ya MTV EMA kipengele cha msanii bora wa Africa, Mondi Chali


Wizkid ameshinda Tuzo ya MTV EMA kipengele cha msanii bora wa Africa (Best African Act) tuzo ambayo ilikuwa ikiwaniwa pia na mkali toka Tanzania, Diamond Platnumz. Wizkid amewaangusha pia Focalist, Tems na Amaarae wa Ghana. Tuzo hizo zinatolewa usiku huu nchini Hungary.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz