Album ya Ali Kiba ni BORA ila Imekosa Promotion Kubwa..Harmonize yake Amekurupuka - EDUSPORTSTZ

Latest

Album ya Ali Kiba ni BORA ila Imekosa Promotion Kubwa..Harmonize yake Amekurupuka

 


Msanii wa Bongo Flava, Mtangazaji na Chawa Pro max Official Babalevo ametoa mtazamo wake juu ya albamu mbili kati ya High School ya Harmonize na ONLY ONE KING ya Alikiba.

Baba Levo amedai albamu ya Alikiba ni albamu bora sana sema kinachomkwamisha Alikiba ni kushindwa kuipromote iendane na ukubwa alionao, kama ilivyo kwa Harmonize hajawahi mpa sifa nzuri, Baba Levo amedai albamu hiyo ni mbovu na anaipa asilimia 14% kwenye 100% huku Only One King akiipa 90%.

Read More:Hatimaye Christina Shusho Afunguka Kuhusu VIDEO Inayoonyesha Akinywa Pombe na Wenzake

Baba Levo amedai cha kumshauri Harmonize atoe albamu nyingine tu maana hiyo kakurupuka.

Kwa mtazamo wangu naona Albamu zote zina unyama mwingi tu. Kwako vipi? 

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz