Wizkid Azidi Kuishika DUNIA..Aacha Historia Billboard - EDUSPORTSTZ

Latest

Wizkid Azidi Kuishika DUNIA..Aacha Historia Billboard

 


Wimbo wa “Essence Remix” wa Wizkid akiwa na Tems na Justin Bieber umeingia katika Top 10 ya chat za Billboard Hot 100 na kuweka record ya kuwa wimbo wa kwanza wa Afrobeat kuingia katika Top 10 ya chat hizo.

Wimbo huu ukiwa na wiki 14 katika Billboard Hot 100 umepanda kwa nafasi moja kutoka nafasi ya 11 wiki iliyopita.

“Essence” imepata airplay ya Radio na TV mara million 48.9 wiki iliyopita kwa nchini Marekani, na streams million 11.2 katika digital platforms.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz