Ukweli Rayvanny Kuachana na Paula - EDUSPORTSTZ

Latest

Ukweli Rayvanny Kuachana na PaulaYAMEZUNGUMZWA mengi juu ya sakata la staa wa Bongo Fleva, Raymond Mwakyusa au Rayvanny kuachana na mwandani wake wa sasa, Paula Paul au Paula Kajala na kurejea kwa mzazi mwenzake, Faima Msengi ‘Fahyma’, lakini Gazeti la IJUMAA limepewa ukweli wote.

Uchunguzi wa gazeti hili ulibaini kwamba, hadi anaondoka nchini kwenda masomoni nje ya nchi, Paula alikuwa akiishi na Rayvanny.

Hata wakati wa kuondoka nchini, Rayvanny alimsindikiza Paula hadi Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar.

Kwa mujibu wa mtu wa karibu wa Rayvanny ambaye ni Juma Lokole, Rayvanny hawezi kumuacha Paula na aliagana naye vizuri mbele ya mamamkwe wake ambaye ni mwigizaji Kajala Masanja.

“Rayvanny anajielewa, hawezi kurudi kwa Fahyma,” anasema Lokole.

STORI; MWANDISHI WETU, DARJe wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz