Trouble in Paradise...Mwimbaji Kutoka WCB Lava Lava Afuta Post Zote Instagram - EDUSPORTSTZ

Latest

Trouble in Paradise...Mwimbaji Kutoka WCB Lava Lava Afuta Post Zote Instagram


Star Wa Muziki @iamlavalava 🇹🇿 Kutokea Label Kubwa Barani Afrika @wcb_wasafi Amesafisha (Amefuta) Post Zote Katika Ukurasa Wake Wa Instagram

Hali Hii imewaacha Mashabiki Njia Panda Kwa Kujiuliza Ni Sababu Gani Iliyopelekewa Nyota Huyu Kuchukua Hatua Hiyo Bila Ya Kutoa Taarifa Yoyote Ile !

Hivyo Kwa Wale Watakaojaribu Kuifikia Akaunti Yake Hiyo Kwa Sasa Hawawezi Kutana Na Post Yoyote Ile Isipokuwa Kwenye Story Tu (Isnta- Story) Ambapo Ameandika Maneno Katika Mfululizo Wa Post Zake Yaliyosomeka 👇

" 𝐒𝐇𝐀 𝐓𝐎 𝐍𝐀 𝐈 " - Lava Lava

Je, Unadhani Itakuwa Ni Suala Gani ?





Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz