Tiwa Savage Atakiwa Aiombe Radhi Dunia Kutokana na Video ya Ngono - EDUSPORTSTZ

Latest

Tiwa Savage Atakiwa Aiombe Radhi Dunia Kutokana na Video ya NgonoKUFUATIA Video chafu ya msanii kutoka Nigeria Tiwa Savage kuvuja kwenye mitandao imepelekea msanii huyo kupoteza dili za makampuni manne.

Muigizaji wa Nigeria ambaye anaishi Marekani Gerogina Onuoha amedai kuwa Tiwa Savage ni Msanii mzuri amebarikiwa lakini kutokana na hili inabidi Aombe radhi .

Gerogina ameenda mbali zaidi na kutolea mfano Mwanamitindo kutoka nchini Marekani Kim Kardashian ambapo anadai aliandaa Tour ya kuomba radhi kwenye Vituo vya habari na vipindi ili kuokoa brand yake aliyoitengeneza kwa zaidi ya miaka 15 .

Staa huyo amesisitiza Tiwa Savage sio Msanii ambaye anaangaliwa Nigeria pekee ni Duniani anatakiwa kuomba radhi kwa hilo .

Tiwa Savage amepoteza dili za kampuni ikiwemo ya mtandao wa simu ya GLO, Cadibury, Pampers.

Nini maoni yako???
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz