Haya Wajuba Kumekucha Huku..Huu Ndio Muonekano Mpya Mashalove Baada ya Operation ya Kupunguza Manyonyo na Kiuno - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Haya Wajuba Kumekucha Huku..Huu Ndio Muonekano Mpya Mashalove Baada ya Operation ya Kupunguza Manyonyo na Kiuno
Majasiriamali na video vixen hapa Bongo, @mashalovietz amepost muonekano wake mpya baada ya kufanyiwa upasuaji huko nchini uturuki.

Masha love aliondoka siku kadhaa nyuma kwenda kufanyiwa upasuaji wa matiti na kuedit shape kidogo. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Masha ameandika👇

“Ahsante Mungu kwa kila jambo wewe ndio muenza wa kila kitu kama sio wewe nisingekua hivi leo nashukuru sana kufanikisha ndoto yangu ya muda muda mrefu nawashukuru nyote mliokua nami kwa kuniombea hadi nimesimama na kuwa mzima ILOVE MY SELF”

Japo kuna waja wanadai ni editing😁🙌

Follow @sajomedia kwa taarifa za burudani. YouTube link kwa bio.🙏
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz