Shilole Achafukwa na Kupandisha Mori "Majungu na Vijembe au Chuki Ndiyo Chachu ya Kukua KwA SHISHI FOOD" - EDUSPORTSTZ

Latest

Shilole Achafukwa na Kupandisha Mori "Majungu na Vijembe au Chuki Ndiyo Chachu ya Kukua KwA SHISHI FOOD"
Ameandika:-

‘’Naomba nianze tu kwa kusema..."SHISHI FOOD" ni BRAND kubwa sanaa na nimepambana mno kusimamisha mbele ya macho yenu na nyuma ya pazia..hivyo basi KATU nisingependa kuona inazihakiwa au kushindindanishwa kiholela holela na kikejeli"

ALHAMDULLILAH nimesonga Sasa mbali na vikwazo vingi na majungu nyuma yanayopikwa nyuma ya mgongo Wangu,niwahakikishie tu kuwa majungu na vijembe au chuki ndiyo chachu ya kukua kwA SHISHI FOOD" kama muonavyo matawi yanazidi kushika hatamu...(baada ya DODOMA 🤗🤗🤗) sifanyi fanyi TU..nafanya kwA mikakati na malengo na ndiyo Maana serikali imenipa ithibati ya kibiashara nafanya biashara kirasmi na EFD machine kwaajili ya risiti,....!!! Tupo pamoja nadhani’’
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz