Nay wa Mitego "Kujipendekeza Ndo Kipaji Nilicho Nyimwa, Ndo Maana Hawanipendi Ata Mimi Siitaji Wanipende" - EDUSPORTSTZ

Latest

Nay wa Mitego "Kujipendekeza Ndo Kipaji Nilicho Nyimwa, Ndo Maana Hawanipendi Ata Mimi Siitaji Wanipende"


Uwenda hili likawa jibu kwa Dr. Abbas aliyeonyesha mapenzi yake kwa Roma Mkatoliki mbele ya @naytrueboytz huku akisisitiza wasanii hao wawili wajitafakari na mashairi wanayo yaimba baada ya kuonekana yanakosoa zaidi serikali. Hivi karibuni Nay ameachia wimbo wake mpya unaoitwa Baba, huko ndani akieleza hali ya nchi ilivyo hivi sasa kwa The late JPM.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram,msanii Nay Wa Mitego ameandika👇

“Kujipendekeza Ndo Kipaji Nilicho Nyimwa, Ndo Maana Hawanipendi Ata Mimi Siitaji Wanipende, Wanao Nipenda Ni Wengi Kuliko Wao.

So Nimechagua Kwa Wengi✊ Coz Nasimamia Ninacho Amini, Na Ninacho Kiamini Ndicho Ninacho Kifanya Daily Na Ndicho Wengi Wanacho Penda✊.

Na Ata Baba May Be Hakunipenda Sababu Ya Kusimamia Ninacho Kiamini Sipendi kufuata Mkumbo Na Haiwezi Kubadilika, Baba Link On Bio”


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz