Nay wa Mitego Ashangazwa na Jinsi Album ya Ali Kiba Inavyouzwa Mitaani Kiholela - EDUSPORTSTZ

Latest

Nay wa Mitego Ashangazwa na Jinsi Album ya Ali Kiba Inavyouzwa Mitaani Kiholela


Rapper @naytrueboytz ametumia ukurasa wake wa Instagram kupitia insta story yake , kutia neno kuhusu album ya @officialalikiba kusambaa mitaani kwa mtindo wa Ku burn CD, na kueleza kuwa kama Album hiyo ingenunuliwa katika njia sahihi basi ingekua na Mauzo makubwa sana.

Tayari wasimamizi wa kazi za wa wasanii tanzania COSOTA wamekemea vikali tabia hiyo na kuweka wazi adhabu kwa watakaokiuka Sheria ya hakimiliki kwa usambazaji wa kazi za wasanii bila idhini yao watatakiwa kulipa fain isiyopungua million 20 ama kifungo cha miaka mi 3-5 jela au vyote kwa pamoja.

✍🏾@keviiiy.iam


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz