Kutana na Mwanamke Mwenye Mdomo Mkubwa Kuliko Wote Duniani - EDUSPORTSTZ

Latest

Kutana na Mwanamke Mwenye Mdomo Mkubwa Kuliko Wote Duniani


Kutana Nyota kutoka mtandao wa TikTok Samantha Ramsdell, @samramsdell5 kutoka Stamford CT, nje kidogo ya jiji la New York City Marekani, ambaye kitabu cha rekodi za Dunia #GuinnessWorldRecordsBook kinamtambua kama Mwanamke mwenye mdomo mkubwa zaidi duniani.

Unaambiwa kinywa chake kinaweza kufunguka hadi inchi 2.56.
→Rekodi ya mwanadamu mwenye kinywa/ mdomo mkubwa zaidi duniani inashikiliwa na bwana mdogo wa umri wa miaka 16' Isaac Johnson, kutoka Minnesota marekani ,akiwa mdomo wenye ukubwa wa 10.175 cm sawa na (inch 4 ),”

✍🏾@keviiiy.iam


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz