Inasemekana MalkiaKaren ana Mimba ya Mondi Simba Mnyama Mkali - EDUSPORTSTZ

Latest

Inasemekana MalkiaKaren ana Mimba ya Mondi Simba Mnyama Mkali

 


Msanii MalkiaKaren ambaye ni mtoto wa mtangazaji nguli hapa Tanzania, Gadner G Habash ana ujauzito mkubwa tuu ambao hata ukisikia kajifungua kesho wala usishangae. Mwenye mzigo inasemekana ni mnyama bin laden simba.

Wadau wa kufukunyua hebu mje hapa, tupeni undani wa hii tetesi.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz