Huenda Ali Kiba Amesainiwa Lebo Moja na Diamond Platnumz Warnermusic - EDUSPORTSTZ

Latest

Huenda Ali Kiba Amesainiwa Lebo Moja na Diamond Platnumz WarnermusicKupitia ukurasa wa Instagram wa @warnermusicsa wamepost Video ya alikiba huku ikionekana huenda star huyo ameingia makubaliano ya promotion na kampuni hiyo .

Mpaka sasa Kwa uthibitisho rasmi Waner Music walitangaza kuingia makubaliano na msanii Diamond platnumz ili kusimamia kazi zake .

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz