Haya ni Majina Matatu ya KIUME Ambayo Yamebadilika Kuwa ya Kike - EDUSPORTSTZ

Latest

Haya ni Majina Matatu ya KIUME Ambayo Yamebadilika Kuwa ya Kike


Haya ni majina ambayo kiasili ni majina ya kiume lakini kwa namna ya kipekee kabisa yamebadilika sura na mtazamo na sasa yanaonekana kama majina ya kike, hii inatokana na wanawake maarufu kuyatumia majina hayo kama majina yao ya kazi.

1. Uwoya: Chanzo Irene Uwoya..

2. Sepetu : Chanzo Wema Sepetu

3. Mobetto : Chanzo Hamissa Mobetto.

Imagine mwanaume uitwe Paul Mobetto, yani haliendi kabisa, Jackson Uwoya, Peter Mobetto, John Sepetu
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz