Hawa Mabinti ndio Wamekuwa Wanafunzi Bora Kupita wanafunzi Takribani Elfu 4 na wote wamepata GPA ya 4.7 - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Hawa Mabinti ndio Wamekuwa Wanafunzi Bora Kupita wanafunzi Takribani Elfu 4 na wote wamepata GPA ya 4.7


Mahafali ya UDSM, Hawa Mabinti ndio Wamekuwa Wanafunzi Bora Kupita wanafunzi Takribani Elfu 4 na wote wamepata GPA ya 4.7

Wa Kulia anaitwa Irene Cristopher Msengi aliyefuzu Digrii ya Awali ya Biashara katika Uhasibu, 

Wa kushoto anaitwa Edina Davis Meela aliyefuzu Digrii ya Awali ya Sayansi Katika Uhandisi Kemikali na Usindikaji.

Hongera Nyingi Kwao 👏🏽👏🏽👏🏽 @vunjabei @vunjabei  
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz