Harmonize aikubali album ya Alikiba, aandika maneno haya



Kupitia ukurasa wake wa Instagram @harmonize_tz amepost picha ya cover ya @officialalikiba Insta story na kuandika BIG TUNES akiweka emoji ya kifalme.



@harmonize_tz yupo Marekani kwa sasa kwenye tuor yake na @officialalikiba ameizindua na kuiachia album yake usiku wa kuamkia leo.

Weka comment yako hapa chini.



0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post