Hanstone Aachia EP nje ya WCB.....Aacha Maswali Mengi - EDUSPORTSTZ

Latest

Hanstone Aachia EP nje ya WCB.....Aacha Maswali Mengi

 Wakati watu wanasubiria msanii anaefatia kutambulishwa WCB ni Hanstone yule wa kwenye Iokote.

Muda sio mrefu ameachia EP yake bila kuwa chini ya management ya WCB Wasafi.

Maswali yamekuwa ni mengi sana.

Je ameshindwa kuvumilia msoto wa benchi kama mwenzie Zuchu?

Au WCB walichoka matukio yake ya utovu wa nidhamu?

Au nini kimetokea?

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz