Dunia Simama Nishuke..Mwanaume Amuoa Mama yake Mzazi Kama Mke wa Pili - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Dunia Simama Nishuke..Mwanaume Amuoa Mama yake Mzazi Kama Mke wa Pili


Vashko Sande wa Zimbabwe ameushangaza ulimwengu baada ya kumfanya mama mzazi wa mke wake(mama mkwe) kuwa mke wa pili.Hii ni baada ya kuwa kwenye penzi la siri naye kwa miaka 7.Vashko anasema ni furaha yake kuoa mama na bintiye kwani ametokea sana kuwapenda wote.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz