King of RnB @IamBenPol ameweka wazi kupitia Nirvana ya East Africa Tv kuwa alikaa na Arnelisa mwaka mzima bila kujua aliyekuwa mke wake Anerlisa kuwa ni tajiri na wala hakuwa naye kwa sababu ana pesa kama wengi wanavyodhani, ilitokea tu tukapendana na mambo yakaenda
Ikumbukwe Ben Pol na Anarlisa kutoka Kenya Walikuwa wapenzi hadi kufikia kuoana lakini kwa sasa Hawaii pamoja Kila mtu na hamsini zake
No comments:
Post a Comment