Alikiba amuomba msamaha Esha Buheti kwa kusahau kumshukuru jana - EDUSPORTSTZ

Latest

Alikiba amuomba msamaha Esha Buheti kwa kusahau kumshukuru janaBaada ya tukio kumalizika aliyekuwa mwenye tukio @officialalikiba alianza kutoa shukrani kwa watu wake wa karibu pamoja na ndugu na jamaa waliohudhuria.

Kwa bahati mbaya aliwataja wote ila akamsahau muigizaji ambaye pia ni rafiki yake @esha.s.buheti hali ambayo ingemfanya ajisikie vibaya.

Kupitia Insta story ya @officialalikiba ameamua kumuomba msamaha na kusema kuwa alijisahau na sio makusudi kama ujumbe wake unavyojieleza hapo.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz