elru87tYGBGEm Vanessa Aaanika Jinsia ya Mtoto Wake - EDUSPORTSTZ

Latest

Vanessa Aaanika Jinsia ya Mtoto Wake

Baada ya Vanessa Mdee (Vee Money) na na mpenzi wake Rotimi kuthibitisha kuwa wanatarajia kupata mtoto siku za hivi karibuni, mchumba wake huyo ameweka wazi jinsia ya mtoto wao.

 

Rotimi amefunguka kuwa wawili hao wanatarajia kupata mtoto wa kiume ambapo kupitia ukurasa wake wa intagram ameandika “You belong in a museum baby, Buttascotch prince on the way”.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz