Upinzani waunga mkono mapinduzi ya kijeshi Guinea 13 - EDUSPORTSTZ

Latest

Upinzani waunga mkono mapinduzi ya kijeshi Guinea 13
Kiongozi wa upinzani Guinea aunga mkono mapinduzi ya kijeshi
Kiongozi mkuu wa upinzani nchini Guinea jana ameiomba Jumuiya ya Kiuchumi ya Mataifa ya Afrika Magharibi (ECOWAS) kutouwekea vikwazo vya kiuchumi uongozi mpya wa kijeshi nchini humo, akisema mapinduzi ya hivi karibuni yamepokelewa vyema na wananchi.Cellou Dalein Diallo, aliyekuwa waziri mkuu wa nchi hiyo, ameliambia shirika la habari la Ufaransa, AFP, kwamba uongozi huo wa kijeshi haustahili kuwekewa vikwazo kwa sababu umekomesha hali ya kutojali sheria nchini humo.

Diallo ambaye amewania urais mara tatu dhidi ya kiongozi aliyeondolewa madarakani, Alpha Conde, bila kufanikiwa, amesema hakukuwa na njia nyengine isipokuwa mapinduzi.

Uongozi huo wa kijeshi unakabaliwa na shinikizo kali la kidiplomasia, baada ya vikosi maalumu vinavyoongozwa na Luteni Kanali Mamady Doumbouya kuchukuwa madaraka Jumapili iliyopita na kumkamata Conde.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz