Unaambiwa Jay-Z na Timu ya Wanasheria Wake Wanapambana Kumtoa Jela Mzee Aliyefungwa Miaka 20 Kisa Bangi - EDUSPORTSTZ

Latest

Unaambiwa Jay-Z na Timu ya Wanasheria Wake Wanapambana Kumtoa Jela Mzee Aliyefungwa Miaka 20 Kisa Bangi


Jay-Z na timu ya wanasheria wake wanapambana kumsaidia mzee wa miaka 55 ambaye alihukumiwa kifungo cha miaka 20 gerezani kwa makosa ya kusambaza na kukutwa na bangi zaidi ya Tani moja.

Kwa mujibu wa mtandao wa Page Six, mfungwa huyo aitwaye Valon Vailes alimuandikia barua Jay-Z akimtaka amsaidie kuachiwa huru kutokana madai kwamba mahakama haikutenda haki. Jay-Z baada ya kuisoma barua hiyo aliguswa na kumkabidhi mwanasheria wake Alex Spiro kulifanyia kazi.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz