Unaambiwa bidada kafunga comments za watu wote mwenye Ruksa ya kucomment ni Harmonize tu duniani kote ππππππIla kaka Pisi hii nimekonyeshea bwana, Yani atasimamisha Afrika Mashariki, unaambiwa Drake anamlilia mtoto huyo wa Rwanda
Tangaza Biashara yako hapa piga simu 0714604974
No comments:
Post a Comment