Tanasha Dona "Licha ya Diamond Platnumz Kuwa Mpenzi Kipindi Kile ila Video ya Gere Nilichangia Hela Pia" - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Tanasha Dona "Licha ya Diamond Platnumz Kuwa Mpenzi Kipindi Kile ila Video ya Gere Nilichangia Hela Pia"


Licha ya kuwa wapenzi, Diamond na Tanasha walitoa gharama sawa kuhakisha video ya wimbo wao ‘Gere’ iliyotoka Februari 18, 2020 inakamilika kwa kiwango cha juu na kuvutia watazamaji. Alisema Tanasha.

Mwishoni mwa mwaka 2020 video ya Gere iliingia katika orodha ya video 10 zilizotazamwa zaidi Afrika kwenye mtandao wa YouTube ikikamata nafasi ya saba.

Video hiyo iliweza kutazamwa zaidi ya mara milioni 22 ikiwa ni video ya tatu kutazamwa zaidi Tanzania kwa mwaka huo.

Kitendo cha Diamond kutohudhuria uzinduzi wa EP ya Tanasha, iliibua tetesi kuwa penzi lao limekalia kuti kavu.

Aprili Mosi 2020 Tanasha akiongea True Love Magazine East Afrika alithibitisha kuachana ana Diamond kwa kile alichodai mama yake mzazi, Bi. Sandra alikuwa akiingilia sana mahusiano yao kiasi cha kumkera.

Hata hivyo, upande wa Diamond kupitia watu wake wa karibu wakadai ugomvi wao ni kwamba Tanasha alikuwa akitaka kuongozana na Diamond hadi Marekani ambapo alikuwa na shoo.

Januari 23, 2021 Tanasha alifika nyumbani kwa Diamond kwa kile kinachodaiwa ni kumleta mtoto wake, Naseeb Jr kuja kuonana na baba yake.

Wikiendi hiyo wakaenda club na kwa mara ya kwanza walitumbuiza pamoja wimbo wao ‘Gere’ ikiwa ni zaidi ya miezi 11 tangu utoke. Sasa kila mmoja ana maisha yake.


Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz