Simba yaahirisha tukio la uzinduzi wa jezi, matukio yote yatafanyika wiki ya Simba day - EDUSPORTSTZ

Latest

Simba yaahirisha tukio la uzinduzi wa jezi, matukio yote yatafanyika wiki ya Simba day
Klabu ya @simbasctanzania imetoa taarifa kuwa imeahirisha hafla yao ya uzinduzi wa jezi za msimu wa 2021/22 iliyokuwa ufanyike leo. Klabu hiyo imeeleza kuwa matukio yote ya sherehe yatafanyika Wiki ya Simba itakayoanza Septemba 13 hadi Septemba 19 mwaka huu.

Ikumbukwe kuwa siku ya jana tarehe 3/9/2021 ndio walizindua jezi zao rasmi na tayari zinapatikana madukani.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz