Kampuni Apple Yasitisha Kukagua Picha zenye Maudhui ya Unyanyasaji wa Kingono kwa Watoto Kwenye Simu za Watumiaji - EDUSPORTSTZ

Latest

Kampuni Apple Yasitisha Kukagua Picha zenye Maudhui ya Unyanyasaji wa Kingono kwa Watoto Kwenye Simu za Watumiaji


MAREKANI: Kampuni ya Apple imesema mipango ya Teknolojia yake ya kukagua picha zenye maudhui ya unyanyasaji wa kingono kwa Watoto kwa Watumiaji wa simu za #iPhone imesogezwa mbele

Hatua hiyo imekuja kufuatia ukosoaji mkubwa wa Teknolojia hiyo kutoka Makundi mbalimbali ambayo yaliibua wasiwasi kuwa mfumo huo unaweza kutumiwa vibaya na Serikali zenye mabavu

Katika taarifa yake, #Apple imesema watachukua muda zaidi katika miezi ijayo kufanya mabadiliko kabla ya kuruhusu Teknolojia hiyo ambayo imesisitiza ni muhimu kwa usalama wa Watoto


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz