Pingamizi la Mbowe Kutolewa Uamuzi Septemba 6 - EDUSPORTSTZ

Latest

Pingamizi la Mbowe Kutolewa Uamuzi Septemba 6Uamuzi wa pingamizi la Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake watatu unatarajiwa kutolewa na Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi Septemba 6, 2021

Mbowe na wenzake wanapinga Hati ya Mashtaka yanayowakabili wakidai ina kasoro za kisheria, hivyo kuomba Mahakama iitupilie mbali

Mawakili wa Serikali wamepinga hilo wakidai hoja zao hazina mashiko, na Hati ya Mashtaka haina kasoro zinazodaiwa na imekidhi matakwa ya kisheria


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz