Msigwa "Serikali imepunguza Tozo kwa 30%, Kampuni za Simu Nazo zimefanya Punguzo la Asilimia 10" - EDUSPORTSTZ

Latest

Msigwa "Serikali imepunguza Tozo kwa 30%, Kampuni za Simu Nazo zimefanya Punguzo la Asilimia 10"
“Serikali imeamua kupunguza tozo za miamala ya simu kwa 30%, kampuni za simu nazo baada ya mazungumzo na serikali zimefanya punguzo la asilimia 10, tunaamini hayo yote sasa yataleta nafuu ambayo Watanzania wengi walilalamikia ni mzigo”“Kumekuwa na maneno mbona huko nyuma hakukuwa na tozo na tulikuwa tunajenga, serikali imeamua kuongeza kasi ya kuimarisha huduma kwa wananchi ndiyo maana Waziri wa Fedha anaiita tozo ya mshikamano,tuweke hii tozo ili matatitizo yatatuliwe” – Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa akiongea na wana habari.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz