Nás Escobar Afunguka "Nilipata Corona Ilinitesa sana, Dunia Tunapita Wakati Mbaya Sana" - EDUSPORTSTZ

Latest

Nás Escobar Afunguka "Nilipata Corona Ilinitesa sana, Dunia Tunapita Wakati Mbaya Sana"


Staa wa muziki wa HipHop, Nas kaongea kuhusu kuugua Corona, " "Nilipata COVID mwishoni mwa Oktoba mwaka jana, Hii ni mara ya kwanza naongelea jambo hili, nilipitia wakatu mgumu, Corono iliniathiri Kiakili na kimwili".

Nas aliendelea kuongea jinsi dunia ilivyobadilika nakusema "⁠Ulimwengu wa leo tu, vita kwa kutumia kemikali, siasa za hovyo, ubaguzi wa rangi, uhaba wa chakula, vitendo vibaya vya polisi, watu weusi wanauwana wenyewe kwa wenyewe, Roho ya mwanadamu inajaribiwa, Nadhani Mungu ana mpango na sisi, tuko katika wakati mbaya".





Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz