Mzee Mpili "Kinachoifelisha Yanga ni Kuongea Ongea Sana Mipango yao" - EDUSPORTSTZ

Latest

Mzee Mpili "Kinachoifelisha Yanga ni Kuongea Ongea Sana Mipango yao"


Mwanachana wa Klabu ya Yanga, Mzee Haji Mpili amesema kuwa kinachowakwamisha Yanga kufanya vizuri ni kuongea ongea mipango yao kwenye media.

Mzee mpili amedai kuwa klabu ya Simba imefanikiwa kwa sababu wao wanajiamini na wako serious na mambo yao hawatangazi mipango yao kwenye media.




Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz