Nandy, Rosa Ree na Zuchu Ndani ya Afrima Awards, Rosa Ree Aongoza Nominations - EDUSPORTSTZ

Latest

Nandy, Rosa Ree na Zuchu Ndani ya Afrima Awards, Rosa Ree Aongoza Nominations


Hiii-apa list ya washindani wa kike tuzo za #AFRIMA2021katika kipengele cha Msanii bora wa kike kutoka ukanda wa Afrika Mashariki, ambapo wanamuziki wa tatu (3) kutoka nchini Tanzania @officialnandy , @rosa_ree na @officialzuchu wameingia katika orodha hii na categories nyingine mbalimbali.

•@Afrie -I Am An African Girl; (Uganda)
•@Karun -I Know »Kenya
•@MerryZerabruk -Lies (Eritrea)
•@Nandy -Nimekuzoea (Tanzania)
•@NikitaKering -Ex (Kenya)
•@RemaNamakula, DJ Harold & Chike -Loco (Uganda)
•@RosaRee -That Gal (Tanzania)
•@SpiceDiana -Body (Uganda)
•@XENIA -Low Key (Kenya)
•@zuchu -Sukari (Tanzania)

Mbali na kutajwa katika kipengele kimoja cha msanii bora wa kike kutoka Africa mashariki, wanamuziki #Nandy , #Zuchu ,kila mmoja ametajwa katika kipengele tofauti tofauti ,kama kipengele cha “Break Out artist of the year -@officialzuchu » #sukari, “Best African Collaboration” @officialnandy
ft @joeboyofficial »#NumberOne, huku rapper #RosaRee yeye akitajwa katika vipengele viwili zaidi “Best artst ,duo or Group in African Hiphop - @rosa_ree » #Satan na “Best artist in African in reggae, ragga & dancehall - @rosa_ree kupitia wimbo wa » #ThatGal, hivyo kumfanya kuongoza katika wanamuziki wa kike wenye Nominations nyingi zaidi kutoka Tanzania


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz