Msigwa "Vitambulisho Vyenu Vipo Tayari" - EDUSPORTSTZ

Latest

Msigwa "Vitambulisho Vyenu Vipo Tayari"MAMLAKA ya Vitambulisho vya Taifa (Nida) imetoa vitambulisho vya uraia milioni 9.4 tangu ianze kuzalisha vitambulisho hivyo huku vitambulisho 1.3 havijachukuliwa.

Msemaji wa serikali Gerson Msigwa amewataka wananchi kwenda kwenye vituo vyao kuchukua vitambulisho vyao kwa ambao bado hawajafanya hivyo.“Mkachukue vitambulisho vyenu mlipokwenda kujisajili. Vipo baadhi vilikuja katika ofisi lakini walivibadilisha kwa sababu walitoa taarifa visivyo, hawa mchakato wa kubadilisha unachukua muda lazima mamlaka ijiridhishe isije ikawa ni nia ovu ama anachukua taarifa za mtu mwimwingine,” amesema.Amesema pia tayari kwamba tayari vitambulisho milioni 8.5 vimeshahakikiwa na kupelkewa kwa wahusika katika vituo mbalimbali.“Uhakiki unaangalia kitambulisho kimoja kimoja, unaangalia kama jina limekaa sawa na taarifa zote zilizopo kwenye kitambulisho,”amesema.Amesema watanzania milioni 7.2 wamechukua vitambulisho vyao huku milioni 1.3 vikiwa bado katika ofisini walizoombea.
Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz