Manara Achana na Simba, Huibomoi Unaisaidia - EDUSPORTSTZ

Latest

Manara Achana na Simba, Huibomoi Unaisaidia
Ningekuwa Kiongozi wa Yanga, ningemwambia Manara “stick to our brand and not otherwise”.. Yaani simamia chapa yetu na sio vinginevyo.

Wataalamu wa Chapa na Masoko wanasema “there’s no such a thing as bad publicity” yaani Hakuna jambo baya linaloikuza chapa, hata kama ni baya kwenye macho ya kawaida, ni zuri kwenye masoko.

Watu wa Yanga so far wanafeli
Manara anaisaidia Simba kuliko Yanga mpaka sasa. Ni mwajiriwa wa Yanga anayeisaidia Simba.

Simba wanaenjoy anavyowataja, anavyozisema jezi zao, anavyosema matangazo yao. Kwenye masoko ukiwa Simba unapunguza na budget ya Influencers kabisa kwa sababu Yanga wanakulipia kwa Manara

By Kotinyotz
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz