elru87tYGBGEm Mrembo Mwanamuziki wa Nigeria Terms Afunguka Alichompa Drake Baada ya Kukutana nae Kwake - EDUSPORTSTZ

Latest

Mrembo Mwanamuziki wa Nigeria Terms Afunguka Alichompa Drake Baada ya Kukutana nae Kwake


Staa wa muziki kutoka nchini Nigeria ambaye kwa sasa anaangaliwa sana @temsbaby amefunguka kitu ambacho alifanya nyumbani kwa #Drake baada ya kukutana na Rapa huyo uso kwa uso nchini Marekani

Kupitia Twitter Tems aliwapa fursa mashabiki kumuuliza chochote ambacho wangependa kujua kutoka kwake. Moja ya mashabiki walimuuliza juu ya expirience ya kukutana na Drake uso kwa uso. Tems alimjibu "Niliwapikia wali na kuku. Pilipili iliwapa shida lakini walipenda sana"

Tems ni kati ya mastaa wachache duniani waliopata nafasi ya kushirikishwa kwenye album mpya ya Drake CLB ambayo imetoka hivi karibuni na kuweka rekodi mbalimbali kwenye mitandao ya kusambaza muziki duniani.


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz